Jumatatu, 27 Machi 2017

KATIBU MKUU AKAGUA UJENZI WA CHUO CHA VETA, MKOANI MOROGORO.

Katibu mkuu wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia  Maimuna Tarishi ametembelea na kukagua ujenzi unaoendelea wa majengo ya chuo cha Veta kilichopo kihonda  mkoani Morogoro.
Katibu Mkuu Tarishi amekagua  jengo la utawala na majengo mawili ya karakana ikiwemo karakana ya umeme wa magari na karakana ya  ufundi seremala, na kuwa ujenzi wa majengo hayo  kwa hivi sasa uko katika hatua za kupauliwa.Hakuna maoni:

Chapisha Maoni