Jumatatu, 11 Novemba 2019

KIKUNDI CHA NEW MILENIUM CHAITUNUKU SERIKALI

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako leo Novemba 10, 2019 amepokea madarasa manne na matundu ya vyoo 10 yaliyojengwa katika kituo cha Buhangija kilichopo Mkoani Shinyanga na Kikundi cha Kikundi cha New Millenium ambacho kinaundwa na wake za viongozi wa Kitaifa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni