ELIMU BLOG
Hii na Blogu mahsusi ya WIZARA YA ELIMU,SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Pages
(Hamishia kwenye ...)
Miundombinu Msingi & Sekondari
Miundombinu Vyuo
Media
contact us
▼
Alhamisi, 30 Novemba 2017
Chuo Kikuu Huria chatakiwa kupanua wigo wa udahili.
›
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kassim Majaliwa amekitaka Chuo kikuu Hiria nchini kuhakikisha kinaongeza ubora wa utoaji E...
Jumatatu, 27 Novemba 2017
Waziri Ndalichako: Watendaji wajibikeni acheni kulipana stahili ambazo hazifuati miongozo na nyaraka za Serikali
›
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezitaka Taasisi zilizochini ya Wizara yake kuwajibika katika nafasi zao za...
Rais Magufuli azindua hospitali ya Mloganzila
›
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amezindua rasmi hospitali ya Taaluma na Tiba ya chuo kikuu cha afya na saya...
Ijumaa, 24 Novemba 2017
Dkt. Akwilapo awataka wahitimu wa ADEM kusimamia kanuni na taratibu katika utendaji kazi.
›
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leornard Akwilapo amewataka wahitimu wa kozi za Uongozi na Usimamizi wa Elimu zina...
Chuo Kikuu Ardhi chaadhimisha miaka 10
›
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa kassim Majaliwa amekitaka Chuo Kikuu cha Ardhi nchini kuendelea kutekeleza mpango mk...
Jumanne, 21 Novemba 2017
China na Tanzania kuendelea kushirikiana katika Sekta ya Elimu
›
Jamhuri ya Watu wa China imesema itaendela kuisaidia Tanzania katika sekta ya Elimu kwenye eneo la Elimu ya Juu, utoaji wa mafunzo ya Ufundi...
Jumatatu, 20 Novemba 2017
Waziri Ndalichako: Ili shule isajiliwe lazima ikidhi vigezo
›
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amesema ili shule isajiliwe lazima iwe imekidhi vigezo ikiwa ni pamoja na ku...
‹
›
Nyumbani
Ona toleo la wavuti