ELIMU BLOG
Hii na Blogu mahsusi ya WIZARA YA ELIMU,SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Pages
(Hamishia kwenye ...)
Miundombinu Msingi & Sekondari
Miundombinu Vyuo
Media
contact us
▼
Alhamisi, 21 Juni 2018
PROFESA MDOE APONGEZA UBUNIFU NA KUWATAKA WANAFUNZI WABUNIFU KUJITOKEZA KWA WINGI
›
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa James Mdoe amewataka wanafunzi ambao wanakipaji cha ubunifu kuhakikisha w...
Jumatano, 13 Juni 2018
NAIBU WAZIRI WA ELIMU ASEMA SERIKALI HAITAFUMBIA MACHO VITENDO VYA UDHALILISHAJI DHIDI YA WANAFUNZI
›
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mheshimiwa William Ole Nasha amesema Serikali haitafumbia macho vitendo vya udhalilishaji dhi...
Ijumaa, 8 Juni 2018
SERIKALI YASEMA HAITAVUMILIA WALIMU WANAOSHIRIKI VITENDO VYA UDHALILISHAJI KWA WANAFUNZI
›
Serikali imesema haitavumilia vitendo vya udhalilishaji ambavyo vimekuwa vikijitokeza katika baadhi ya shule hapa nchini na kusisitiza kuw...
Jumatano, 6 Juni 2018
WAZIRI NDALICHAKO ASHIRIKI KUAGA NA KUZIKA MAPACHA WALIOUNGANA MARIA NA CONSOLATA
›
· AWATAKA WATANZANIA KUISHI KWA KUPENDANA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amewataka watanzania kujenga tabia ya kupendan...
OLE NASHA: SERIKALI YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA DFID
›
Serikali imehaidi kuendelea kushirikiana na wadau wa Sekta ya Elimu katika kuhakikisha watoto wa kitanzania wanapata Elimu iliyo bora ili ...
Jumanne, 29 Mei 2018
PROFESA MDOE ASHIRIKI KONGAMANO LA SAYANSI NA TEKNOLOJIA NCHINI ISRAEL
›
Naibu Katibu Mkuu Profesa James Mdoe yuko mjini Jerusalem nchini Israel, kwa ajili ya kushiriki kongamano la Mawaziri la kuadhimisha mia...
Jumatatu, 28 Mei 2018
›
To all Heads of Secondary Schools, RE: GUIDELINE FOR EAST AFRICAN ESSAY WRITING COMPETITION FOR SECONDARY SCHOOLS 2018 The East ...
‹
›
Nyumbani
Ona toleo la wavuti