ELIMU BLOG
Hii na Blogu mahsusi ya WIZARA YA ELIMU,SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Pages
(Hamishia kwenye ...)
Miundombinu Msingi & Sekondari
Miundombinu Vyuo
Media
contact us
▼
Ijumaa, 17 Agosti 2018
NAIBU WAZIRI OLE NASHA ARIDHISHWA NA UKARABATI WA CHUO CHA UALIMU NACHINGWEA
›
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mheshimiwa William Ole Nasha ametembelea Chuo Cha Ualimu Nachingwea na kuridhishwa na kiwango...
Alhamisi, 16 Agosti 2018
DK. SEMAKAFU: WATHIBITI UBORA NA MAAFISA ELIMU FANYENI UFUATILIAJI SHULENI
›
Naibu Katibu Mkuu Dk. Ave Maria Semakafu amewataka Maafisa Elimu na Wathibiti ubora kuhakikisha wanafanya ufuatiliaji na kutoa taarifa kwe...
NDALICHAKO AITAKA VETA MAKAO MAKUU KUPELEKA FEDHA KATIKA WILAYA NA MIKOA
›
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako ameigiza Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi(VETA) kuhakikisha ina...
WAZIRI NDALICHAKO AAGIZA CHUO CHA VETA NKASI KUTOA MAFUNZO YA MUDA MFUPI
›
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako ameigiza Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA Kanda ya Kusini M...
Maoni 1 :
Jumatano, 15 Agosti 2018
SERIKALI KUJENGA MAJENGO MAPYA CHUO CHA UALIMU SUMBAWANGA
›
Serikali imesema itajenga majengo mapya ya Chuo cha Ualimu Sumbawanga ili kukihamisha kutoka kwenye majengo ya Kanisa Katoliki ambayo yam...
Alhamisi, 9 Agosti 2018
WAZIRI NDALICHAKO AIAGIZA NACTE KUFUNGIA VYUO VINAVYOTOA MAFUNZO KWA UBABAISHAJI
›
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako ameliagiza Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kuendelea kufungia vyu...
WAZIRI NDALICHAKO AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI MAAFISA WATATU WA WIZARA YA ELIMU.
›
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Joyce Ndalichako amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dk. Leonard Akwilapo kumsimami...
‹
›
Nyumbani
Ona toleo la wavuti