Hii na Blogu mahsusi ya WIZARA YA ELIMU,SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Pages
▼
Jumatano, 15 Januari 2020
MAKABIDHIANO YA MAGARI YA VYUO VYA UALIMU
Serikali imetoa magari mapya 35 kwa Vyuo vya Ualimu vya Tanzania Bara yenye thamani ya bilioni 5.2 kwa ajili ya kurahisisha mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji
#Profesa Joyce Ndalichako
# Halfa ya makabidhiano ya magari ya vyuo vya ualimu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.