Jumatano, 11 Oktoba 2017

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi wampokea Mtukufu Agha Khan


Mtukufu Aga khan muda mfupi Mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa jijini Dar es Salama na amepokelewa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi.Mtukufu Aga Khan akikagua gwaride lililoandaliwa kwa ajili yake muda mfupi  baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa jijini Dar es salaam.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolonia Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi wakiwa katika picha ya pamoja  na Mtukufu Aga Khan ambaye amewasili leo.
Hakuna maoni:

Chapisha Maoni