contact us

Maoni 2 :

  1. Habari Muheshimiwa tumepokea taarifa kwamba Shule zote zifunguliwe tarehe05 kwasababu ya Sensa.Lakini shule yetu inafunguliwa tarehe 27.Swali langu Je taarifa ni za kweli .Na ni shih kufungua shule tarehe hiyo na isitoshe mwezi wa nne hatukufunga

    JibuFuta
  2. Waheshimiwa samahani.Tumepokea taarifa ya barua kutoka kwa serikali ikisema shule zote awali msingi na sekondari zifunguliwe tarehe 5..lakini Shule baadhi kama Zakia Meghji Secondary School wanafungua tarehe 27 Je taarifa ni za kweli na ni sahihi watoto kufungua shule tarehe hiyo na mwezi wa 4 hawakufunga walibaki shuleni?

    JibuFuta