Wizara ya Elimu na
Mafunzo ya Ufundi yakutana na Wadau wa Elimu
kujadili namna ya kuboresha
ukusanyaji wa Takwimu za kielimu
katika Sekta ya Elimu.
Wadau waliokutana ni pamoja
na Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Wizara
ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,
Wizara ya Fedha ,e-Government Agency, UNESCO,USAID,TENMET, SIDA, MOF, AGILE na Data
Vision.
Jambo jema kwa maendeleo ya elimu nchini. Kujua takwimu sahihi na hatua moja muhimu katika kuweza kutekeleza mipango ya elimu.
JibuFutaAgile wametupa mwanga sana Mtwara ikiwa Tanzania nzima mafanikio yataonekana na uchakakuaji mwisho.
JibuFuta