Naibu Katibu Mkuu Profesa James
Mdoe yuko mjini Jerusalem nchini Israel, kwa ajili ya kushiriki kongamano la
Mawaziri la kuadhimisha miaka 70 ya Sayansi na Teknolojia katika kuhudumia
wanadamu.
Mkutano huo ulioanza jana
ulifungukiwa rasmi na Waziri Mkuu wa Israel ambapo Mada kuu ya mkutano huo ni
“kufikiria nje ya boksi”.
Naibu Katibu Mkuu Profesa James Mdoe akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Israel wakati wa kuadhimisha miaka 70 ya Sayansi na Teknolojia.
Kongamano hilo la siku 4
linawashirikisha Mawaziri, Naibu Mawaziri na viongozi mbalimbali.
Naibu Katibu Mkuu Profesa James Mdoe akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wengine wa kongamano la Mawaziri la kuadhimisha miaka 70 ya Sayansi na Teknolojia katika kuhudumia wanadamu nchini Israel.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.