Mafanikio hayo ni pamoja na
majengo mbalimbali yaliyojengwa, vifaa vya kufundishia na kujifunzia, magari
yaliyonunuliwa na Wahadhiri waliosomeshwa katika ngazi ya Shahada ya Uzamili na
Uzamivu kupitia mradi huo.
“Kutokana na kukamilika kwa Mradi huo
katika awamu ya kwanza, Watanzania
wategemee mabadiliko makubwa
katika sekta ya Elimu
na kutoa ubora wa
Elimu na sasa tunakamilisha taratibu za kuanza
kwa awamu ya pili ya mradi huo
ambapo pia tutawasomesha walimu,” alisema Mhe. Mhagama.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.