Mkurugenzi wa ElimuMsingi Nicholaus Burreta kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia akisalimiana na baadhi ya Maafisa wa JKT Ruvu alipohudhuria sherehe za kufunga mafunzo ya vijana wa mujibu wa sharia Operesheni Magufuli zilizofanyika Ruvu JKT Mlandizi
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako akiangalia mazoezi yanayofanywa na vijana (hawapo pichani) waliohitimu mafunzo alipohudhuria sherehe za kufunga mafunzo ya vijana wa mujibu wa sharia Operesheni Magufuli zilizofanyika Ruvu JKT Mlandizi
Baadhi ya vijana wa JKT waliokuwa katika mafunzo kwa mujibu wa sharia wakimuonyesha Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia mazoezi ambayo wamejifunza kwa kipindi chote cha mafunzo yao katika Kambi ya Ruvu JKT
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako akipokea salam kutoka kwa vijana waliohudhuria mafunzo kwa mujibu wa sharia wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo hayo katika kambi ya JKT Ruvu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako akikagua gwaride lililoandaliwa kwa ajili yake kutoka kwa vijana waliohudhuria mafunzo kwa mujibu wa sharia wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo hayo katika kambi ya JKT Ruvu
Baadhi ya wananchi walioshiriki katika sherehe ya kufunga mafunzo ya vijana wa mujibu wa sharia operation Magufuli zilizofanyika katika kambi ya JKT Ruvu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.