Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Jumuiya ya wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Watumishi wa Serikali na wananchi kabla ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mabweni ya Chuo Kikuu cha UDSM.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.
Joyce Ndalichako akiongea na Jumuiya ya wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam, Watumishi wa Serikali na wananchi waliofika kushuhudia uwekeaji wa jiwe
la msingi wa ujenzi wa mabweni ya chuo hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe wakati wa uwekaji wa Jiwe la Msingi la
Ujenzi wa mabweni ya Chuo Kikuu cha UDSM wengine katika picha ni Mama Janeth
Magufuri, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,
Sayansi na Teknolojia Maimuna Tarishi na Naibu Katibu Wizara ya Elimu, Sayansi
na Teknolojia Dkt. Leornad Akwilapo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa mabweni ya Chuo
Kikuu cha UDSM uliofanyika leo katika viwanja vya chuo hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli, Mama Janeth Magufuri, Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknolojia , Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Maimuna Tarishi
na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Prof. Rwekaza Mkandara
wakisikiliza kwa makini taarifa za ujenzi wa hosteli hizo kutoka kwa Mkurugenzi
Mkuu Wakala wa Majengo Tanzania Elius Mwakibinga (hayupo pichani)
Baadhi
ya wafanyakazi wanao husika na ujenzi wa hosteli za Chuo Kikuu cha UDSM
wakimsiliza Rais Dkt. John Pombe Magufuri (hayupo pichani)alipokuwa akiongea katika uwekaji wa
jiwe la msingi la ujenzi wa mabweni ya Chuo Kikuu cha UDSM uliofanyika leo
katika viwanja vya chuo hicho
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.