Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako leo Novemba 10, 2019 amepokea madarasa manne na matundu ya vyoo 10 yaliyojengwa katika kituo cha Buhangija kilichopo Mkoani Shinyanga na Kikundi cha Kikundi cha New Millenium ambacho kinaundwa na wake za viongozi wa Kitaifa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.