Jumanne, 5 Aprili 2016

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi atembelewa na Mabalozi wa Ireland na Finland Ofisini kwake

 
 
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Prof Joyce Ndalichako akiongea na Balazoi wa Ireland Bi Fionnuala Gilsenan aliyefika ofisini kwake leo asubuhi kwa ajili ya kujadili miradi mbalimbali ya elimu inayoendeshwa nchini.





 
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Prof Joyce Ndalichako akiongea na Balazoi wa Finland Bw. Pelleka Hakka aliyefika ofisini kwake leo asubuhi kwa ajili ya kujadili miradi mbalimbali ya elim inayoendeshwa nchini pamoja nao ni Oskar Kass na Mkurugenzi wa Kitengo cha Uratibu wa masuala ya elimu Kikanda na Kimataifa 
 
 
 
 
 

Maoni 2 :

  1. Hapa kazi tu kwaajili ya maendeleo ya wananchi Uki



    Hapa kazi tu kwaajili ya maendeleo ya wananchi

    JibuFuta