Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Maimuna Tarish akiingia katika Chuo cha Ualimu Kitangali alipokwenda kukabidhi Chuo hicho kwa wakandarasi wa ujenzi kwa ajili ya kufanya ujenzi majengo mapya ya chuo hicho. Makabidhiano hayo yalifanyika hivi karibuni chuoni hapo.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Maimuna Tarish akipata maelezo kutoka kwa mkandarasi (hayupo pichani) juu ya ujenzi wa Chuo cha Ualimu Kitangali alipokwenda kukabidhi Chuo hicho kwa wakandarasi wa ujenzi kwa ajili ya kufanya ujenzi majengo mapya ya chuo hicho. Makabidhiano hayo yalifanyika hivi karibuni chuoni hapo.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Maimuna Tarish akifanya ukaguzi kwenye ya jiko linatumika kwa jili ya kupikia chakula cha wanafunzi alipokwenda kukabidhi Chuo hicho kwa wakandarasi wa ujenzi kwa ajili ya kufanya ujenzi majengo mapya ya chuo hicho. Makabidhiano hayo yalifanyika hivi karibuni chuoni hapo.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Maimuna Tarish akikabidhi mkataba pamoja na michoro kwa mmoja wa wakandarasi watakaofanya kazi ya ujenzi ya miundombinu ya Chuo cha Ualimu Kitangali alipokwenda kukabidhi Chuo hicho kwa wakandarasi wa ujenzi kwa ajili ya kufanya ujenzi majengo mapya ya chuo hicho. Makabidhiano hayo yalifanyika hivi karibuni chuoni hapo.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.