Jumanne, 23 Agosti 2016

Serikali yawasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mradi wa Kukuza Stadi za Kusoma Kuandika na Kuhesabu

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leonard Akwilapo akiongea na Wawakilishi kutoka kamati ya Global Partnership for Education  wakati wa kikao cha uwasilishwaji wa taarifa ya utekelezaji ya  Mradi wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leonard Akwilapo akiongea na Wawakilishi kutoka kamati ya Global Partnership for Education  wakati wa kikao cha uwasilishwaji wa taarifa ya utekelezaji ya  Mradi wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa WizaraKaimu  Mkurugenzi wa Sera na Mipango  wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Gerald Mweli akiongea na Wawakilishi kutoka kamati ya Global Partnership for Education  wakati wa kikao cha uwasilishwaji wa taarifa ya utekelezaji ya  Mradi wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara
 Baadhi ya wajumbe wa kikao wakifuatilia kwa makini maelezo yanayotolewa na wasimamizi wa Mradi huo wakati wa kikao cha uwasilishwaji wa taarifa ya utekelezaji ya  Mradi wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni