Katibu Mkuu Wizara ya
Elimu, Sayansi na Teknolojia Maimuna Tarish akiwa ameshika ramani ya michoro
inayokwenda kujengwa katika shule ya sekondari Nyakato iliyopo Mkoani Kagera. Kushoto
kwake ni Mkurugenzi wa Bukoba Vijijini Mwantumu Dau na Kushoto ni Mkurugenzi
Mkuu wa Mansoor induries Ltd Sharif Hirani ambaye yeye pamoja na wadau wengine
wamejitolea kusaidia kukarabati baadhi ya miundombinu ya shule hiyo. Shule hiyo
ni miongoni mwa shule ambazo ziliharibiwa na tetemeko
Mkurugenzi
Mkuu Wakala wa Majengo Tanzania Elius Mwakibinga akimkabidhi Katibu
Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Maimuna Tarish ramani ya michoro
inayokwenda kujengwa katika shule ya sekondari Nyakato iliyopo Mkoani Kagera,
huku Mkurugenzi Mkuu wa Mansoor induries Ltd Sharif Hirani akishuhudia. Shule
hiyo ni miongoni mwa shule ambazo
ziliharibiwa na tetemeko
Katibu Mkuu Wizara ya
Elimu, Sayansi na Teknolojia Maimuna Tarish akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Mansoor
induries Ltd Sharif Hirani ramani ya michoro inayokwenda kujengwa katika shule
ya sekondari Nyakato iliyopo Mkoani Kagera. Shule hiyo ni miongoni mwa shule ambazo ziliharibiwa na
tetemeko
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.