Jumanne, 6 Desemba 2016

Balozi wa Uingereza amtembelea waziri wa Elimu na kufanya mazungumzoWaziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akiongea na Balozi wa Uingereza Sarah Cooke nchini aliyefika ofisini kwake na kuzungumza mambo mbalimbali yanayohusu Elimu nchi. Aidha, katika mazungumz0 hayo Waziri aliishukuru Uingereza kwa kusaidia na kufadhili miradi mbalimbali ya Elimu nchini

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akiangalia baadhi ya taarifa kuhusu vitabu vya lugha ya Kiingereza vinavyoandaliwa na DFID  kwa ajili ya kusambazwa kwa shuleni. Vitabu hivyo ni kwa ajili ya wanafunzi pamoja na walimu, pichani ni Balozi wa Uingereza Sarah Cooke na Mwakilishi wa DFID Tanya Zebioff


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni