JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA
TEKNOLOJIA
MAJINA
YA WATANZANIA WALIOPATA UFADHILI WA MASOMO JAMHURI YA ALGERIA MWAKA WA MASOMO
2018 – 2019
Wizara ya Elimu, Sayansi na
Teknolojia inawapongeza wanafunzi wote waliopata fursa za ufadhili wa masomo
kutoka Serikali ya Jamhuri ya Algeria kwa mwaka wa masomo 2018/2019. Wanufaika wote mnatakiwa kuzingatia maelekezo
muhimu ili kufanikisha safari yenu ya kwenda masomoni.
Maelekezo
Muhimu
Wanafunzi wote wanatakiwa
kukamilisha maandalizi ya safari kwenda masomoni nchini Algeria kwa kufanya mambo
yafuatayo:
(i)
Kila mwanafunzi anatakiwa kuwasilisha “passport”
yaani hati ya kusafiria ubalozi wa Algeria kwa ajili ya VISA.
(ii)
Kulipa USD 50 kwa ajili ya VISA. Ada ya VISA italipwa ubalozi wa Algeria.
(iii)
Awe na picha passport size 3 zenye kivuli
cheupe.
(iv)
Tarehe ya safari ni kati ya tarehe 5 –
11/11/2018.
NB: Iwapo mnufaika atakuwa
na changamoto awasiliane na Mratibu Bwana L. Malili Na. ya simu ni
0715 150047.
NA
|
NAMBA YA USAJILI
|
JINA LA
MWANAFUNZI
|
JINA LA CHUO
|
PROGRAMMU
|
1
|
8TZA4703
|
Kassim
Adila Ally
|
University
of Science and Technology in Oran
|
Science
and Technology
|
2
|
8TZA4701
|
Oscar
Gomba
|
University
of Constantine 1
|
Natural
Science and life
|
3
|
8TZA4626
|
Mkumbo
Nakembetwa John
|
University
of Setf 1
|
Natural
Science and Life
|
4
|
8TZA4375
|
Faru
Suhayrnan R George
|
University
of Science and Technology in Blida 1
|
Science
and Technology Science
|
5
|
8TZA4126
|
Masige
Goodluck Stephano
|
University
of Constantine 1
|
English
|
6
|
8TZA4118
|
Ngwenya
Alfonce Simon
|
University
Sidi Bel Abbes
|
English
|
7
|
8TZA4132
|
Malekela
Yonathani Frank
|
University
of Constantine 1
|
Veterinary
Science
|
8
|
8TZA4175
|
Mohamed
Ali Mlenge
|
University
of Tlemcen
|
Science
and Technology
|
9
|
8TZA4182
|
Mwakikuti
Ezra George
|
University
of Blida 1
|
Veterinary
Science
|
10
|
8TZA4165
|
Malemo
Francisca Masatu
|
University
of Science and Technology in Oran
|
Hydraulic
|
11
|
8TZA4172
|
Kabyazi
Edibily Egbert
|
University
of Bejaia
|
Economic
Science Management and Trade
|
12
|
8TZA4039
|
Hussein
Mariam Ismail
|
University
of Constantine 1
|
English
|
13
|
8TZA4122
|
Meza
Ismail Omary
|
University
of Oran 2
|
English
|
Imetolewa na:
Katibu Mkuu,
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,
25/10/2018